KTN Leo Full Bulletin 10th September 2014 (Gavana Issa Timamy achiliwa huru)
10th September, 2014
1. COTU unaunga mkono viwango vipya vya malipo vilivyotolewa na hazina ya matibabu NHIF
2. Serekali ya Kaunti ya Nandi imewakataza wenyeji kuoga kwenye maji ya mito
3. LAMU ATTACKS: Mahakama Kuu ya Mombasa imwachisha huru Gavana Issa Timamy
4. Wabunge wamemuidhinisha Phillip Wachira Kameru kama Mkurugenzi Mkuu Kitengo cha Ujasusi