x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

MIGORI COUNTY: Vurumai iliyokuwa katika ziara ya Rais Uhuru Kenyatta yazua hisia mbalimbali

09, Sep 2014

Ziara ya Rais Uhuru Kenyatta hapo jana katika kaunti ya migori ilioishia na vurumai imeendelea kuzua hisia mbalimbali miongoni mwa viongozi wa kisiasa. chama cha tna kimekashifu tukio hilo na kukitaka chama cha odm kuomba msamaha kwa vumurai hilo pamoja na kudai kwamba chama hicho kilipanga njama ya kuzua fujo wakati wa hafla hiyo. lakini katika mtazamo tofauti wabunge wa muungano wa cord kutoka kaunti ya migori wamekana kuhusika katika matukio hayo ya kuzomewa kwa rais kenyatta katika ziara yake ya huko Migori.

RELATED VIDEOS


Feedback