×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Johnston Kavuludi na David Kimaiyo wafafanulia Bunge marufuku ya makurutu wa polisi

4th September, 2014

Mwenyekiti wa huduma kwa polisi Johnston Kavuludi akiandamana na Inspekta Jenerali David Kimaiyo walifika mbele ya kamati ya bunge kufafanua maswala ya kutupilia mbali kwa uteuzi wa makurutu kwenye kikosi cha polisi. Imebainika kwamba zoezi la uchaguzi kwenye vituo hivyo 36 litaanza tena baada ya kesi iliyowasilishwa Kortini na mamlaka ya usimamizi wa Uhuru wa polisi
.
RELATED VIDEOS