x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakazi wa Rumutu wakadiria hasara kubwa baada ya ndovu kuharibu mashamba yao

03, Sep 2014

Mtazamaji, ndovu ni moja wapo ya wanyama wa pori wanaovutia watalii nchini kenya lakini kwa wakaazi wa eneo rumuruti huko laikipia, ndovu wamekuwa karaha kwao baada ya kuharibu mimea yao. wenyeji sasa wametishia kuwaua ndovui hao ambao wanadai serikal imeshindwa kuwaondoa mashamani mwao.

RELATED VIDEOS


Feedback