×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wenyeji wa Budalangi wailaumu serikali kwa kukosa kuwasaidia katika shughuli ya kuitafuta miili 8

1st September, 2014

Ikiwa ni kukesha wamekesha, na ikiwa ni dua wameiwakilisha kwa maulana kwa dhati. Mtazamaji ni siku ya tatu na bado kizungumkuti ni kilekile kwa wakazi wa siginga baada ya kupatwa na mkasa wa boti kuzama. Sasa wanalalama kuwa serijkali kuu na ile ya kaunti ya busia zimewaacha kusononoke na kulazimika kutafuta miili ya wapendwa wao bila usaidizi kutoka kwao.
.
RELATED VIDEOS