×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wavinya Ndeti amechaguliwa kama mwenyekiti wa kamati ya kuunganisha vya kisiasa

28th August, 2014

Uchaguzi wa kuichagua kamati ya kuunganisha vyama vya kisiasa uliandaliwa hii leo na licha ya kukumbwa na malumbano hatimaye ulifanyika ambapo aliyekuwa mbunge wa eneo bunge la kathiani Wavinya Ndeti alichaguliwa kama mwenyekiti wa kamati hiyo. wavinya ametaka kamati hiyo kuendeleza kurudumu la kuleta uwiano kati ya vyama vya kisiana.
.
RELATED VIDEOS