Gavana wa Kaunti ya Nyeri atia sahihi sheria ya kudhibiti unywaji pombe kupita masaa yaliyotengwa
27th August, 2014
Gavana wa Nyeri Nderitu Gachagua ametia saini sheria mpya ya kudhibiti unywaji pombe katika kaunti hiyo,sheria inayowahitaji wenye baa na vilabu kuwapigia kengele mwanyaji pombe saa tano usiku ili watoweke vilabuni. je, shera hii itafaulu kupunguza visa vya unywaji pombe kupindukia nyeri ama ni sawa na kuwapigia mbuzi gita.