Wakaazi wa Eastleigh wafanya mahandamano kupinga unyakuzi wa ardhi ya kiwanja
26th August, 2014
Wafanya biashara mtaani eatleigh wameandamana kulalamikia kuuzwa kwa uwanja wa ndege za kijeshi wa moi airbase kwa mwekezaji mmoja wa kibinafsi. wakaazi hao wanailaumu serekali ya kaunti ya nairobi kwa kuuza kiwanja hicho, na kudai kuwa hatua hiyo italeta hali ya ukosefu wa usalama katika mtaa huo.