×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanawake wengi hujifungua nyumbani kwa kupenda kwao hata baada ya hospitali kujengwa

22nd August, 2014

Katika sehemu nyingi za mashinani huduma za afya zimekuwa nadra huku akina mama wajawazito wakilazimika kujifungua nyumbani lakini huko Samburu wanawake wengi hujifungua nyumbani kwa kupenda kwao hata baada ya hospitali kujengwa karibu nao . Hi imeshinikiza maafisa wa afya kuwajengea manyatta za kujifungulia wakiwa na usaidizi wa maafisa wa afya
.
RELATED VIDEOS