×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wamiliki wa nyumba zilizoko kwenye kipande cha Barabara ya Langata wameapa kutobanduka

21st August, 2014

Wamiliki wa nyumba zilizoko kwenye kipande cha ardhi ambapo barabara ya langata kuelekea rongai inafaa kupitia wameapa kutobanduka katika sehemu hiyo hadi wote walipwe fidia. na huku kesi hiyo ikiwa bado mahakamani watumizi wa barabara hiyo wanalalamikia mwendo wa kobe katika kuikamilisha shughuli hiyo.
.
RELATED VIDEOS