x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Busia inatumika kama kiingilio kwa wanaotoroka Ebola nchi za Africa magharibi

20, Aug 2014

Afisa mkuu wa afya katika kaunti ya Busia amekariri kuwa watu mia moja, ishirini na wawili wameingia humu nchini kutoka mataifa ya afrika magharibi tangu kutangazwa kuwepo kwa maradhi hayo katika mataifa hayo. Taarifa hii imekinzana ile ya wizara ya maswala ya kigeni iliyowataka wakenya kususia kutoa matamshi yanayolenga kuleta hofu ya maambukizi ya virusi vya Ebola humu nchini

RELATED VIDEOS


Feedback