×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mtoto anayeishi pangoni abadilisha lugha na kudai anteswa na wazaziwe

19th August, 2014

Siku moja tu baada ya KTN kueleza masaibu ya mtoto George Omusina aliyekuwa anaishi shimoni katika mtaa wa tena kwa madai ya kufiwa na wazazi wake, mtoto huyo amebadili lugha na sasa anadai kuwa alianza kuishi shimoni baada ya mateso kutoka kwa babake mzazi. Si hayo tu baba huyo amejitokeza na kudai kuwa yeye ndiye mzazi wa mtoto huyo. Sasa swali ni je itakuwaje mtoto wa rika lile kufikia kiwangocha kuwatakia wazazi wake kifo wangali hai ?
.
RELATED VIDEOS