×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Makala maalum: Maisha ya wafanyikazi 5000 katika jaa kubwa zaidi la taka la Dandora

17th August, 2014

Ni jaa la taka kubwa zaidi kanda ya afrika mashariki, jaa ambalo ni nyumba kwa takriban wafanyakazi 5000, jaa la taka la dandora. Mwanahabari Hussein Mohammed ametuandalia makala maalum kuhusu maisha ya wafanyakazi wanaotekeleza shughuli zao za kila siku katika jaa hilo la taka na faida wanayoipata kutokana na taka za kaunti ya Nairobi.
.
RELATED VIDEOS