×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Licha ya kuwa na upofu wa macho, hili halijamlemaza mkaazi mmoja kufanya kazi ya ubawabu

16th August, 2014

Wiki mbili zilizopita David Mutahi alitutumbuiza kwa ala yake ya muziki katika sehemu yetu ya Kenya halisi. Licha ya kuwa kipofu, Mutahi alipiga mdomo bata kana kwamba amepata mafunzo kutoka kwa Mzee Ngala lakini akasema alijifunza mwenyewe. Lakini kilichotushangaza zaidi ni kuwa baada ya mahojiano alituambia kuwa yeye ni bawabu huko Thika
.
RELATED VIDEOS