×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Muungano wa Madaktari yapinga hatua ya shirika la ndege kuruhusu safari za Africa Magharibi

14th August, 2014

Wakati muungano wa madaktari nchini ukisema haujaridhishwa na hatua ya shirika la ndege nchini kuruhusu safari za nchi za magharibi mwa afrika kutokana na uwepo wa virusi vya ebola afisa mkuu mtendaji wa shirika la kenya airways amejitokeza na kusema kwamba safari zitaendelea kama kawaida na kuitaja hatua yao hiyo haisukumwi na kutafuta faida.
.
RELATED VIDEOS