×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Serikali kuanzisha shughuli ya kuwasajili wakenya wasiokuwa na vyeti vya za kuzaliwa

13th August, 2014

Serikali inapania kuanzisha shughuli ya kuwasajili wakenya wasiokuwa na vyeti vya za kuzaliwa na vile vya kufariki. waziri wa usalama wa ndani joseph olelenku ameyasema haya huku akiitaja shughuli hiyo kama itakayowasaidia maafisa wa polisi kuboresha usalama baada ya kukamilika kwake katika kipindi cha miezi mitatu ijayo.
.
RELATED VIDEOS