x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakina Baba watia mimba mabinti wao na kuwalazimisha kuziavya mimba hizo

07, Aug 2014

Huenda sasa haki ikawapita waathiriwa wa dhulma za kimapenzi katika kijiji cha kiliboti katika eneo bunge la lugari.visa vya unyanyasaji wa kimapenzi vimezidi na la kushangaza ni kuwa hatma ya wanaofanya visa hivi husalia mikononi mwa wazee wa kijiji. na kama anavyotuarifu mwanahabari francis ontomwa, wahalifu sasa wamepata njia mpya ya wa kukwepa kufunguliwa mashtaka kortini.

RELATED VIDEOS


Feedback