Mgonjwa atoroshwa hospitali akikingwa na malipo ya hospitali yaliyotajwa kuwa ya juu mno
4th August, 2014
Mgonjwa mmoja ametoroshwa na wenzake katika hospitali ya kibinafsi ilioko mtaa wa Githurai 44. Hii ni baada ya mgonjwa huyo kukosa kulipa deni alilodaiwa na kupelekea kuzuka kwa tofauti baina yao.