x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kaunti ya Taveta kufanya matayarisho ya sherehe ya miaka mia moja tangu vita vya kwanza vya dunia

04, Aug 2014

Je wajua kuwa vita vya kwanza vya dunia vilianzia katika kaunti ya Taita Taveta? Na kama njia moja ya kuhifadhi kumbu kumbu za vita hivyo ,serekali ya kaunti hiyo kwa ushirikiano na bodi ya utalii nchini imeanzisha matayarisho ya sherehe za miaka mia moja tangu vita hivyo, mbali na kufanya maeneo yaliyoshuhudia vita hivyo kuwa vivutio vya watalii .

RELATED VIDEOS


Feedback