Faida za mmea wa aloe vera au mshubiri
3rd August, 2014
Mmea wa alovera au mshubiri unasemekana kutibu magonjwa kadhaa ya ngozi na kwa Celestine Mwandembo kutoka maungu kaunti ya Taita Taveta anautumia mmea huu kama kitega uchumi chake kwani unakidhi mahitaji yake ya kimsingi.