Shule zinazotoa masomo ya uanahabari nchini Kenya kufanyiwa ukaguzi
2nd August, 2014
Baraza la wanahabari nchini limetangaza kufanyiwa ukaguzi kwa shule zinazotoa masomo ya uanahabari ili kuboresha kiwango cha huduma wanazotoa na kukabiliana na shule ambazo hazijahitimu kutoa mafunzo hayo. Lakini baadhi ya wakuu wa shule zinazolengwa wanamtazamo upi kuhusiana na ukaguzi huo?