x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mwanamke amefura kwenye matiti katika ugonjwa usioeleweka Jijini Kisumu

31, Jul 2014

Mwanamke mmoja kutoka kaunti ya siaya amepoteza familia yake baada ya mumewe kumfukuza. kisa na maana ni kuwa mwanamke huyo alipata uvimbe kwenye matiti yake. uvimbe ulioyafanya matiti yake kufika hadi kwenye magoti yake na kuwa mazito ajabu. saida swaleh anaeleza jinsi uvimbe huo ulivyoanza na masaibu ya mwanamke huyo.

RELATED VIDEOS


Feedback