×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mahakama ya Juu yaanza kusikiza kesi mfumo wa Digitali nchini Kenya

30th July, 2014

Mahakama ya juu imeanza kusikiza kesi baina ya mashirika ya habari na halmashauri ya mawasiliano inayotaka mashirika ya habari ya Standard Group, Royal Media na Nation Media Group kupewa leseni ya kupeperusha matangazo yao kupitia masafu ya dijitali. kwenye kikao cha leo katika mahakama ya juu, upande wa serikali umeitaka mahakama hio kutupilia mbali uamuzi wa mahakama ya rufaa uliopendelea upande wa mashirika hayo ya habari.ali manzu,alishinda katika majengo ya mahakama na ameanda taarifa ifuatayo.
.
RELATED VIDEOS