×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Familia ya kijana Bukusu aliyemoa msichana wa Kihindi wadai kulipwa mahari

30th July, 2014

Baada ya kukuletea taarifa ya mapenzi baina ya sarika na timothy, mhindi na mbukusu kutoka webuye sasa mambo yamechukua mkondo mwingine siku moja tu baadaye. Familia ya Timothy sasa inataka wakwe zake kuwapa mahari kulingana na mila na desturi za kihindi. Mwanahabari francis ontomwa alirejea tena katika boma hilo na kukuandalia taarifa ifuatayo.
.
RELATED VIDEOS