×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Vijana wavamia kampuni ya ujenzi Utawala wakidhani alihusika kubomoa nyumba zao

29th July, 2014

Mali ya thamani isyojulikana imeharibiwa katika fujo zilizojiri baina ya mmiliki wa kampuni ya ujenzi ya Nyoro na vijana katika eneo la Mihango huko Utawala vijana hao wakivamia na kuharibu mali ya kampuni hiyo baada ya kudaiwa kuwa mmiliki kampuni hiyo alihusika katika kuzibomoa nyumba zao. Kampuni hiyo na kundi hilo la vijana wako na kesi kortini kuhusu umiliki wa ekari 25 za ardhi katika eneo hilo.
.
RELATED VIDEOS