×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jamii ya wamakonde yandaa mkutano kushughulikia maswala yanayowakera baada ya jamii hiyo kugawanyika

28th July, 2014

Mkutano wa jamii ya wamakonde kutoka msumbiji wanaoishi humu nchini ulitibuka baada ya jamii hiyo kugawanyika pande mbili huku sehemu moja ikidai ajenda za kisiasa kwenye mkutano huo badala ya kushughulikia maswala yanayowakera kama ukosefu wa vitambulisho. Balozi Floriano Maneno ndiye aliyeandaa mkutano huo katika shule ya msingi ya Jomo Kenyatta katika kaunti ya kwale.
.
RELATED VIDEOS