×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu wawili wauawa kwa kupigwa risasi huko Mombasa siku tu baada ya shambulizi Likoni

22nd July, 2014

Watu wawili wameuwa katika baa moja, iliyopo katika mtaa wa majengo- sega huko Mombasa. Wahudumu wawili wa kwenye baa hiyo pia walijeruhiwa na kwa kupelekwa hospitali kuu ya mkoa wa pwani kwa matibabu , tukio hili linajiri siku moja tu baada ya watu wanne kuuliwa katika mtaa wa Likoni mjini Mombasa,
.
RELATED VIDEOS