x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakenya walioleta mabadiliko watuzwa katika tuzo za transform Kenya

20, Jul 2014

Tuzo za Transform Kenya Awards zilizoanzishwa na shirika la habari la standard, zitakuwa zikifanyika kila mwaka kwa lengo la kutambua juhudi za watu mbalimbali za kuleta mabadiliko katika jamii. Wakenya tabaka mbalimbali ikiwemo taasisi zilizochangia katika kuleta mabadiliko katika jamii walitambuliwa na kutuzwa kutokana na michango yao muhimu. Benki ya KBC ilitoa ufadhili wa shilingi milioni 15 ili kufanikisha hafla hiyo iliyofanyika katika hoteli ya Windsor.

RELATED VIDEOS


Feedback