Wanafunzi wa uuguzi huko Bungoma waandamana wakilalamikia kifo cha mwanafunzi mwenzao
13th July, 2014
Wanafunzi wa chuo cha mafunzo ya uuguzi, huko Bungoma wameandamana wakilalamikia kifo cha mwanafunzi mwenzao, aliyefariki katika hali ya kutatanisha. Wanafunzi hao waliandamana na kuifunga barabara kuu ya kutoka Bungoma kuelekea Mumias.