x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

SRC yawalaumu wabunge wa kaunti kwa matumizi mabaya ya fedha za kaunti

11, Jul 2014

Tume ya kuratibu mishahara ya umma SRC imewalaumu wabunge wa kaunti kwa madai ya matumizi mabaya ya fedha kuanzia marupurupu ya vikao, usafiri na hata wafanyikazi waliowaajiri. Seneta wa kaunti ya Nyeri Mutahi Kagwe alieleza kuwa ipo haja ya kupunguza safari za nje kwa wabunge hao kwa kupunguza idadi ya wanaosafiri. lakini kama anayoripoti Francis Mtalaki wabunge hao wa kaunti wameonekana kutia masikio pamba kutokana na lalama wanazolimbikiziwa

Feedback