×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Vinara wa Cord wamesa hawana haja tena ya kufanya majadiliano na serikali

7th July, 2014

Huku wafuasi wa muungano wa cord wakimiminika katika bustani la uhuru kwa mkutano uliotarajiwa kwa hamu wa sabasaba, vinara wa cord waliamua kutoa mapendekezo ambayo kulingana nao yatasaidia kuleta mabadiliko nchini. Ingawa sabasaba ya mwaka huu ni tofauti kabisa na ile ya waanzilishi wao mwaka 1990, mabadiliko ya uongozi na katiba imekuwa mojawapo ya yale yaliyoongoza mkutano huo.
.
RELATED VIDEOS