x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mkulima amebuni mbinu za kuwafurusha Ndovu kwa shamba

02, Jul 2014

Visa vya ndovu na wanyama wengine wa porini kuwashambulia binadamu na mimea mashambani vinazidi kuongezeka.lakini kijana james kosgei kutoka eneo la rimoi kaunti ya elgeyo marakwet, amevumbua mbinu ya kuwafukuza ndovu kutoka kwenye shamba lake linalopakana na mbuga ya wanyama.lakini ameweza vipi kujiepusha na hasara ya uharibifu wa mimea yake?

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback