Maafisa wa polisi waliohukumiwa kifo waachiliwahuru
27th June, 2014
Maafisa 6 wa polisi wa utawala waliotuhumiwa kuwaua madereva 7 wa taxi kutoka mtaa wa Kawangware mnamo mwezi Machi mwaka wa 2010 na kuhukumiwa kunyongwa wameachiliwa huru hii leo na mahakama ya rufaa