×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Baraza la gavana lakashifu Vyombo vya Habari kwa ripoti ya pesa za Kaunti

26th June, 2014

Baraza La Magavana limekashifu ripoti iliyotolewa na msimamizi mkuu wa bajeti hapo jana agnes odhiambo, wakisema kuwa fedha zinazodaiwa kutotumiwa zimeratibiwa katika bajeti za kaunti. mwenyekiti wa kamati ya magavana inayosimamia kilimo nderitu gachagua, amesema kuwa vyombo vya habari vinatoa habari tofauti huku wakenya wakiamini kuwa fedha hizo zitarejeshwa katika serikali kuu. na kama anavyoarifu mwanahabari mohamed mahmoud, ujenzi wa miundo misingi na huduma bora kwa wapiga kura bado umesalia nyuma.
.
RELATED VIDEOS