Sekta ya benki inaathirika sana na uhalifu wa kimitandao
11th June, 2014
Je, watambua kuwa mtandao wa kijamii ni mojawapo ya njia zinazotumika katika ugaidi? Utafiti uliofanywa kuhusu uhalifu wa kimitandao unaonyesha kuwa mitandao ya kijamii hutumika sana katika visa uhalifu huku sekta ya benki ikiathirika kwa kiasi kikubwa.