x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Msichana wa miaka kumi na miwili ajifungua mtoto Uasin Gishu

10, Jun 2014

Msichana mmoja mwenye umri wa miaka kumi na miwili amejifungua mtoto katika kijiji cha Chelabal kaunti ya Uasin Gishu. Mtoto huyo anadaiwa kuwa na uhusiano na kijana mwenye umri wa miaka 18 na kupachikwa mimba bila kujua. Kwa sasa familia yake inataka mhusika wa mimba hiyo kuchukuliwa hatua

RELATED VIDEOS


Feedback