Magereza zaidi kujengwa kupunguza msongamano
8th June, 2014
Je mtazamaji unafahamu kuweko kwa wafungwa elfu 55 katika magereza yote nchini huku idadi inayoisatahili ikiwa ni elfu 23 kulingana na uwezo wa taasisi za magereza zilizopo. Hali hii imesababisha msongamano mkubwa magerezani. Jambo ambalo lilimfanya waziri wa usalama Joseph Ole Lenku kutangaza kuongezwa kwa magereza 6 zaidi mashinani. Je, hili litaboresha huduma za idara ya magereza na usalama wa nchi kwa ujumla?