Rais Uhuru Kenyatta awaongoza wanajeshi wa angani kuadhimisha miaka 50
4th June, 2014
Rais Uhuru Kenyatta aliwaongoza wanajeshi wa angani katika maadhimisho ya miaka 50 tangu kikosi hicho kizundiliwe. Kwenye sherehe hiyo ya kufana Rais Uhuru Kenyatta amewataka wanajeshi kuwa ngangari katika kulinda kenya dhidi ya tishio la usalama angani