Wizara ya ardhi kufungua milango ya huduma baada ya kuifunga siku 10
18, May 2014
Wizara ya ardhi itafungua milango yake kesho tayari kwa kuwahudumia Wakenya baada ya kuifunga siku 10 zilizopita, ambapo walipanga upya nakala za vyeti vya ardhi. Waziri wa ardhi na ustawi wa miji nchini Charity Ngilu, amesema hivi karibuni, wizara hio itaanza mikakati ya kuhifadhi vyeti hivyo kutumia mfumo wa dijitali