x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

wakaazi kujua iwapo wapendwa wao ni miongoni mwa waliokuwa wawamezikwa kitengela

18, May 2014

Tangu kupatikana kwa kaburi la miili isiyojilikana siku ya ijumaa eneo la kitengela, wakaazi ambao jamaa na marafiki waliokuwa wamepotea, walisubiri kujua iwapo wapendwa wao ni miongoni mwa wale waliokuwa wawamezikwa. Kamishna wa kaunti ya kajiado amesema huenda wahusika wakuu wa mauaji hayo ni jamaa waliojihusisha na uuzaji wa ardhi iliyo na utata eneo hilo

Feedback