Mwanamume ajeruhiwa na nyumba kadhaa kuchomwa kwa mzozo wa arthi Mtwapa
18th May, 2014
Mwanamume mmoja alijeruhiwa vibaya na nyumba kadhaa kuchomwa baada ya mzozo wa ardhi kuzuka katika eneo la mikanjuni Mtwapa Kaunti ya kilifi. Linasemekana kuwa jamaa huyo alikuwa anavuna madafu pale washukiwa wawili walipomkamata na kumjeruhi wakitumia mapanga