Wanawake mashuhuri waliochangia kuiletea Kenya fahari kubwa nchini watuzwa
8th May, 2014
Mkewe seneta wa Baringo Zahra Moi aliwaongoza marafiki katika hafla ya kuwatambua na kuwatuza wanawake waliochangia kuiletea Kenya fahari kubwa . Ory Okolloh na kapteini Koki Mutungi ni wanawake wawili walio tambulika katika hafla ya leo iliyowavutia wageni mbali mbali.