Profesa Juma Bhalo aaga dunia
6th April, 2014
Profesa juma Bhalo ameaga dunia. Bhalo ambaye ni muimbaji stadi wa mashairi ya mapenzi na mengine ya dini akitumia lugha ya kiswahili, alifariki jana usiku saa nne nyumbani kwake baada ya kuugua kwa muda. Jamaa na marafiki walifika katika masjid nur bondeni kumswalia na kutoa risala zao za rambi rambi. Saida swaleh na mengi.