×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Usafiri waathirika kutokana na matatu kukosa kuafikiana na sheria za usalama barabarani

1st April, 2014

Maelfu ya wakenya walilazimika kutembea hadi kazini huku wengine wakitumia njia mbadala mapema hii leo, hii ni kufuatia makataa yaliyotolewa kwa magari ya umma yakitakiwa kuafikiana na sheria mpya za kuimarisha usalama barabarani . Miongoni mwa sheria hizo ni pamoja na magari yote ya umma kutakiwa kuwekwa vi9dhibiti mwendo vipya vya kidijitali.
.
RELATED VIDEOS