×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kuanza kwa matangazo ya digitali yapewa muda zaidi

28th March, 2014

Dijitali au analogi? Mahakama imetoa masharti mapya ambayo imesisitiza ni sharti yazingatiwe kabla ya wakenya kuhama hadi kwenye mfumo wa kupeperusha matangazo ya televisheni kupitia mawimbi ya dijitali. Mwezi wa Septemba mwaka huu ndio muda uliotengwa kwa serikali kuhakikisha kwamba tume ya mawasiliano- CCK, inabuniwa upya kuambatana na katiba iliyoko sasa, kwani tume hiyo kwa sasa haina mamlaka ya kuzima matangazo ya analogi kwa kuwa ilibuniwa kwenye katiba iliyopita.
.
RELATED VIDEOS