×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamke ngangari Nabwin Ekamais ni dereva wa gari aina ya Land Cruiser huko Turkana

22nd March, 2014

Enzi na falsafa kwamba sehemu ya mwanamke ni jikoni na kuangalia watoto huenda zikazidi kutokomea kwenye kaburi la sahau kwani hata jamii zilizoonekana kuzikumbatia tamaduni za aina hiyo sasa zinabadilika. Katika kaunti ya Turkana kuna mwanamke dereva anayeliendesha gari aina ya Land Cruzer la kaunti hiyo. Ni mwanamke Nabwin Ekamais ambaye hajui kusoma wala kuandika. Ni mke wa afisa wa polisi na ameamua kuubadilisha mtizamo wanaopewa wanawake wa Turkana.
.
RELATED VIDEOS