×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hali ya maisha ilivyo tangu serikali ya Jubilee ilipochukua uongozi

4th March, 2014

Huku serikali ya Jubilee ikisheherekea mwaka mmoja tangu ya kuchukua hatamu za uongozi ,shirika la utafiti la synovatte ,limefanya utafiti kuhusiana na hali ya maisha pamoja na uongozi wa serikali ya jubilee mwaka mmoja baadaye tangu kuchukua hatamu za uongozi Kwenye utafiti huo vyombo vya habari vimechukua asilimia 43 kama taasisi zinazoaminika wakifuatiwa kwa karibu na rais akiwa na asilimia 41.viongozi wa kidini wanafuata kwa asilimia 39 huku naibu wa rais William Ruto akiwa na asilmia 38 huku kiongozi wa upinzani raila odinga akiwa na asilimia 25. Maseneta wana asilimia 13 na serikali za kaunti zikiwa na asilimia 15 huku asimia 9 ikiwaendela wabunge.
.
RELATED VIDEOS