×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwili wa rubani David Macharia wa patikana bomani kwake

28th February, 2014

Mwili wa mwanamume mmoja uliotambuliwa kama aliyekuwa rubani David Macharia umepatikana katika shimo la maji taka katika boma lake katika mtaa wa Karen. Macharia anasemekana alikuwa ametekwa nyara huku wahalifu hao wakiitaka familia kutoa shilingi laki moja ili kumuachilia. hata hivyo kupatikana kwa mwili wake katika boma lake kumezua maswali zaidi huku polisi wakianzisha uchunguzi kubaini kiini cha kifo chake. Mashirima Kapombe anaarifu.
.
RELATED VIDEOS