×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Spika wa kaunti ya kiambu aondolewa afisini

25th February, 2014

Spika wa kaunti ya kiambu ameondolewa kutoka afisini mwake kwa ukiukaji wa sheria ya kutoa zabuni. Jumla ya wawakilishi sitini na tatu wa wadi waliunga mkono hoja ya kumuondoa mamlakani spika huyo dhidi ya kura kumi na tatu zilizopigwa za kumuunga mkono kuendelea kushikilia wadhifa wa afisa hiyo. Spika huyu ataingia katika vitabu vya historia kama spika wa kwanza wa serikali za kaunti kubanduliwa nje baada ya gavana wa embu Martin Wambora kupitia mfumo uu huu wa kukataliwa na wanachama wa serikali ya kaunti.
.
RELATED VIDEOS