×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Baadhi ya walowezi wa Embobut wavuja fedha walizopewa kununua ardhi

24th February, 2014

“Mchumia juani hula kivulini” ndio kauli ya mama mmoja kaunti ya Elgeyo Marakwet baada ya kupokea fidia ya shilingi 401,000 na kuamua kuhama msitu wa Embobut lakini kama anavyo ripoti Francis Mtalaki kuna wale walizifuja fedha zao walizolipwa kama fidia ya kuhama kutoka ardhi ya msitu na kusalia hawana mbele wala nyuma.
.
RELATED VIDEOS